MANCHESTER DERBY
Ligi kuu ya uingereza itaendelea tena wiki hii ambapo macho ya mashabiki wengi wa mpira wa miguu yapo katika mechi kati ya Manchester united na Manchester city katika dimba la Old trafford .
mechi hii ina mvuto wa aina yake kutokana na uwepo wa makocha bora ambao wamekua mahasimu kwa muda mrefu yaani Jose Mourinho na Josep Pep Guadiola .
Na pia uwepo wa wachezaji bora katika klabu zote mbili mfano Zlatan Ibrahimovic ambaye amekua na mwanzo mzuri katika ligi ya Uingereza.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Old trafford mida ya saa nane na nusu mchana siku ya jumamosi.
Mchezaji Kun Aguero ataukosa mchezo huo kutokana na adhabu aliyopewa na shirikisho la soka la nchi hiyo yani FA .
mchezaji Marcus Rashford
aliefunga bao pekee mara ya mwisho timu hizo zilipokutana
No comments:
Post a Comment